HATIMAE WAKAZI WA KIFURU WAPATA MAJI RASMI LEO.

Kufuatia agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka Mamlaka ya Maji safi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) kufikisha huduma ya Maji safi kwa wakazi wa Jimbo la Ukonga na Segerea kabla ya Disemba 25 Mwaka huu, hatimae DAWASA wametekeleza agizo hilo. Mapema leo Waziri wa Maji Jumaa Aweso amejionea ukamilishaji wa Mradi wa